ROME: Wakimbizi wa Kikurd wakamatwa pwani ya Italia | Habari za Ulimwengu | DW | 25.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ROME: Wakimbizi wa Kikurd wakamatwa pwani ya Italia

Boti ya uvuvi iliopakia wakimbizi 130 wa Kikurd imewasili kusini mwa Italia.Polisi na wanajeshi wa Italia waliwakamata wakimbizi hao kwenye pwani ya Calabria,wengi wao wakiwa ni wanaume.Wamesema kuwa safari ya boti hiyo ilianzia Uturuki,juma moja lililopita.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com