Robert Mugabe katika kifungo cha nyumbani | Media Center | DW | 15.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Robert Mugabe katika kifungo cha nyumbani

Hali ya wasiwasi inaendelea katika mji mkuu wa Zimbabwe, Harare, kufuatia hatua ya jeshi la nchi hiyo kuchukua udhibiti wa nchi. Rais Jacob Zuma amesema amezungumza na Rais Robert Mugabe, ambaye yuko salama lakini akizuiliwa nyumbani kwake, Kansela Angela Merkel wa Ujerumani na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron wafika Bonn kuhudhuria mkutano wa mabadiliko ya tabianchi. Papo kwa Papo.

Tazama vidio 02:05
Sasa moja kwa moja
dakika (0)