1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ripoti ya Shirika la kutetea haki za binadamu, ITEEKA lililopo nchini Burundi

18 Desemba 2008

Nchini Burundi shirika la kutetea haki za binadamu Iteeka limetoa ripoti yake inayoeleza kuwa haki za binadamu zinakiukwa nchini humo

https://p.dw.com/p/GJFs

Burundi ilipata serikali iliyoundwa katika misingi ya kidemokrasia mwaka 2005 kufuatia kipindi cha zaidi ya muongo mmoja wa vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Kutoka Bujumbura Ali Bilal ameandaa taarifa ifuatayo.