1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ripoti: Wanawake na watoto 58 waliuliwa nchini Kenya

26 Novemba 2021

Ripoti mpya iliyotewa nchini Kenya yasema wanawake 58 na watoto waliuliwa kati ya mwezi Januari na terehe 31 mwezi Oktoba mwaka huu pekee, hali inayoonesha kuwa taifa hilo la Afrika Mashariki linakabiliwana na kitisho kikubwa cha matendo ya mauaji majumbani. Shisia Wasilwa anasimulia zaidi.

https://p.dw.com/p/43WWY