Ramaphosa abadili baraza la mawaziri | Matukio ya Afrika | DW | 27.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Afrika Kusini

Ramaphosa abadili baraza la mawaziri

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametangaza baraza jipya la mawaziri linaloundwa pia na mawaziri waliokuwemo katika baraza lililolopita. Ni uteuzi wake wa kwanza tangu ashike madaraka.

DW imezungumza na mmoja wa wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Afrika Kusini Isaac Khomo kutaka kujua baraza hili limepokewa vipi nchini humo katika kipindi hiki ambacho nchi hiyo inaandamwa na kashfa za ufisadi pamoja na kuporomoka kwa uchumi.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada