RAMALLAH:Serikali mpya kuapishwa katika Palestina | Habari za Ulimwengu | DW | 17.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

RAMALLAH:Serikali mpya kuapishwa katika Palestina

Rais wa Mamlaka ya Palestina bwana Mahmoud Abbas ametia saini agizo la kuunda baraza jipya la mawaziri.Afisa mmoja alie karibu na bwana Abbas amefahamisha hayo.Lakini chama cha Hamas kimesema kuwa hatua ya rais Abbas inaenda kinyume na sheria.

Habari zaidi zinasema kuwa mawaziri 11, wataalamu pamoja na waziri mkuu mpya bwana Salam Fayyad wanatarajiwa kuapishwa .

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com