RAMALLAH: Abbas ameihimiza Israel irejee kwenye majadiliano | Habari za Ulimwengu | DW | 16.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

RAMALLAH: Abbas ameihimiza Israel irejee kwenye majadiliano

Rais Mahmoud Abbas wa Wapalestina ametoa mwito kwa Israel kurejea kwenye meza ya majadiliano. Amesema Wapalestina wapo tayari kufanya majadiliano ya dhati kuumaliza mgogoro wa miongo kadhaa.Abbas ameihimiza Israel kutoiacha nafasi ya kupata amani.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com