1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais wa Zanzibar ahitimisha ziara ya Oman

Sudi Mnette14 Oktoba 2022

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi leo hii amehitimisha ziara yake ya kikazi ya siku nne nchini Oman. Ziara hiyo inaelezwa kuwa ya kwanza kufanyika kwa kada yake kutoka Zanzibar kwa zaidi ya miaka 20. Dk. Harith Ghassani ni mtafiti na mwanahistoria mwenye asili ya Kizanzibar anaeishi nchini Oman, alizungumza na Sudi Mnette kuhusu yaliyojitokeza huko.

https://p.dw.com/p/4ID1v