Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ndiye mwenyekiti mpya wa EAC | Media Center | DW | 01.03.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ndiye mwenyekiti mpya wa EAC

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ndiye mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, akichukua mikoba hiyo kutoka kwa rais wa Rwanda Paul Kagame. Lakini changamoto katika jumuiya hiyo ni tele ikiwa ni pamoja na kushindwa kwa asasi zake, migawanyiko na hata kuhoji umuhimu wake. Zaidi John Juma amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Dar es Salaam Abdulkadir Atiki.

Sikiliza sauti 03:36