1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais wa Botswana kula kiapo chake

Admin.WagnerD27 Oktoba 2014

Rais wa Botswana, Ian Khama anatarajiwa kuapishwa kesho (28.10.2014) kwa kipindi kingine cha muhula wa pili baada ya chama chake BDP kuibuka na ushindi wa wastani katika uchanguzi wa bunge wa taifa hilo.

https://p.dw.com/p/1DcsH
Wahlen in Botsuana Ian Khama
Rais Mteule wa Botswana Ian Khama akipiga kuraPicha: picture alliance/AP Photo

Chaguzi za bunge la mabaraza ya miji zilifanyika ijumaa iliyopita, wabunge ndio waliomchagua rais. Kutoka mjini Johannesburg Sudii Mnette amezungungumza na mwandishi habari Issac Khomo, kwanza alimuuliza kujua uchaguzi huo utakuwa na funzo gani katika demokrasia ya Afrika. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza kitufe cha kusikilizia hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri:Yusuf Saumu