Rais Uhuru Kenyatta lawamani uteuzi wa majaji | Matukio ya Afrika | DW | 04.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Rais Uhuru Kenyatta lawamani uteuzi wa majaji

Rais Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi alikataa kuwateua majaji sita katika orodha ya majaji 41 iliyowasilishwa kwake na Tume ya Huduma za Mahakama JSC akisema kwamba hawakidhi vigezo vya kupandishwa vyeo na kuhudumu katika mahakama walizokuwa wamependekezwa. Jambo hili limezua gumzo nchini Kenya huku wanasheria wakisema rais huyo amekiuka katiba. Jacob Safari anazungumza na wakili Bobby Mkangi.

Sikiliza sauti 03:11