Rais Samia Suluhu afanya ziara ya kikazi Rwanda | Matukio ya Afrika | DW | 02.08.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Rais Samia Suluhu afanya ziara ya kikazi Rwanda

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anafanya ziara ya kwanza ya siku mbili nchini Rwanda. Pamoja na mambo mengine rais huyo anatarajiwa kutoa heshma kwa wahanga wa mauwaji ya Kimbari ya 1994, na kutembelea pia Ukanda Maalumu wa Kibishara mjini Kigali. Eneo hilo lina viwanda viwandaa kadhaa vikiwemo vya Watanzania. Sudi Mnette amezungumza na balozi mstaafu wa Rwanda, Seth Kamanza kuhusu ziara hii.

Sikiliza sauti 01:58