1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Kabila ataka mazungumzo na Waasi wa M23 yamalizike leo

15 Machi 2013

Leo (15.03.2013) ni siku ambayo rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila alitaka mazungumzo ya amani kati ya serikali yake na waasi wa M23 kumalizika mjini Kampala.

https://p.dw.com/p/17yPa
Rais Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Rais Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoPicha: Reuters

Hata hivyo ujumbe wa M23 kwenye mazungumzo hayo umesema hautatia saini mkataba wowote hii leo. Mwandishi wetu wa Kampala Leylah Ndinda na maelezo zaidi. Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za maskioni hapo chini.

Mwandishi: Leyla Ndinda

Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi