1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Kabila akamilisha ziara yake Kivu ya Kaskazini

12 Aprili 2012

Rais wa Joseph Kabila wa DRC amesisitiza kuhusu msimamo wake wa kumkamata Jenerali Bosco Ntaganda, akisema kuwa serikali yake inaendelea na juhudi za kumtia mbaroni mkuu huyo wa kundi la wapiganaji wa CNDP.

https://p.dw.com/p/14c3N
Rais Joseph Kabila wa DRC
Rais Joseph Kabila wa DRCPicha: picture-alliance/dpa

Kabila aliyasema hayo wakati akikamilisha ziara yake katika mkoa wa Kivu ya kaskazini ambapo pia alikutana na wajumbe wa mashirika ya kiraia.

John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Goma.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikio hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Saumu Yusuf

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi