Rais Jacob Zuma bado akaliwa kooni | Media Center | DW | 28.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Rais Jacob Zuma bado akaliwa kooni

Wakurdi wa Iraq wamesherehekea ushindi walioupata baada ya kupiga kura ya NDIYO ya kujitenga kutoka Iraq. Nchini Uhispania serikali imesema itapeleka polisi zaidi ili kuwazuia watu kupiga kura ya maoni ya kutaka kujitenga ya mkoa wa Catalonia. Na maelfu waandamana Afrika Kusini kupinga ufisadi na rais Jacob Zuma.Papo kwa Papo 28.09.2017

Tazama vidio 01:49
Sasa moja kwa moja
dakika (0)