Rais Adama Barrow kurejea Gambia | Media Center | DW | 26.01.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Rais Adama Barrow kurejea Gambia

Rais Donald Trump kuwazuia wakimbizi kutoka nchi saba za Kiislamu kuingia Marekani. Rais mpya wa Gambia Adama Barrow kurejea nchini mwake. Na Familia zilizokimbia Mosul, zaanza kurejea tena. Papo kwa Papo 26.01.2017

Tazama vidio 01:33