Raia wa Uganda washiriki zoezi la uchaguzi mkuu wa kihistoria | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 14.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Raia wa Uganda washiriki zoezi la uchaguzi mkuu wa kihistoria

Kiongozi mkongwe nchini humo Rais Yoweri Museveni anawania muhula wa sita uongozini japo anakabiliana na upinzani kutoka kwa aliyekuwa nyota wa muziki Robert Kyangulanyi almaarufu Bobi Wine.

Tazama vidio 01:55