Raia wa Rwanda tayari kwa uchaguzi wa Rais | Media Center | DW | 03.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Raia wa Rwanda tayari kwa uchaguzi wa Rais

Shughuli za kampeni zimehitimishwa nchini Rwanda kabla ya uchaguzi wa rais kesho Agosti 4, Rais Michel Temer wa Brazil amenusurika kura bungeni, kuhusu tuhuma za rushwa dhidi yake, Shambulizi la al-Shabaab lililomuuwa afisa wa polisi Kaskazini Mashariki mwa Kenya lazusha hofu ya usalama katika eneo hilo wakati wa uchaguzi wa tarehe 8 Agosti. Papo kwa Papo!

Tazama vidio 01:30