Raia wa marekani wanaongoza kwa kumiliki bunduki duniani | Media Center | DW | 19.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Raia wa marekani wanaongoza kwa kumiliki bunduki duniani

Ripoti inayotolewa kila mwaka na shirika angalizi kuhusu silaha ndogo imesema kuna bunduki bilioni moja kote ulimwenguni, zikiwemo milioni 857 zilizoko mikononi mwa raia, huku raia wa Marekani wakiwa wamiliki wa bunduki nyingi.

Tazama vidio 00:53