Raia wa Kongo wauawa licha ya kutangazwa hali ya dharura | Matukio ya Afrika | DW | 04.08.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Raia wa Kongo wauawa licha ya kutangazwa hali ya dharura

Licha ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutangaza utawala wa kijeshi katika mikoa ya Kivu Kaskazini na Ituri, kundi la waasi la ADF limewaua watu 15 usiku wa kuamkia Jumanne katika kijiji cha Idohu. Je, serikali inapanga kuchukua hatua gani nyengine ili kuzuia umwagaji damu unaofanywa na kundi hilo.

Sikiliza sauti 03:24