Raia 2 wauawa Afghanistan katika shambulizi la kujitolea muhanga | Habari za Ulimwengu | DW | 15.03.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Raia 2 wauawa Afghanistan katika shambulizi la kujitolea muhanga

KABUL:

Nchini Afghanistan,raia 2 wameuawa katika shambulizi la kujitolea muhanga.Mwanajeshi mmoja wa vikosi vya madola shirika,alijeruhiwa pia.Mshambulizi alibamiza gari lake katika msafara wa magari ya kijeshi ya NATO.Shambulio hilo limetokea karibu na mji wa Shost ulio kusini mashariki mwa Afghanistan karibu na mpaka wa Pakistan.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com