Radio D | Radio D | DW | 19.03.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Radio D

Radio D

Kozi ya lugha ya "Radio D" inalenga wanaoanza wasio na au walio na maarifa machache ya wali na inaangazia viwango vya A1 na A2 vya Mfumo Maarufu wa Ulaya wa Marejeleo ya Lugha (Common European Framework of Reference for Languages). Unaweza kusikiliza klipu zote za sauti na kusoma miongozo yao hapa. Radio D iliundwa kwa ushirikiano na Goethe-Institut.

Viwango: A1, A2
Midia: Sauti, Maandishi (Pakua)
Lugha: Kijerumani | Kiswahili