Pyongyang. Japan inalamba miguu ya Marekani yasema Korea ya kaskazini. | Habari za Ulimwengu | DW | 04.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Pyongyang. Japan inalamba miguu ya Marekani yasema Korea ya kaskazini.

Korea ya kaskazini imesema leo kuwa Japan haipaswi kuwepo katika mazungumzo yajayo ya pande sita yenye lengo la kusitisha mpango wa kinuklia wa Korea ya kaskazini.

Afisa mmoja wa Korea ya kaskazini ameitaja Japan kuwa si lolote zaidi ya kuwa jimbo la Marekani na kuwaita maafisa wa Japan kuwa wamefilisika kisiasa.

Mazungumzo yaliyokwama ya nchi sita, yanayohusisha Korea zote mbili, Marekani , China , Russia

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com