1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Putin na Erdogan wakutana Moscow kujadili mzozo wa Syria

Amina Mjahid
5 Machi 2020

Rais wa Urusi Vladimir Putin amekutana na rais mwenzake wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, kwa mazungumzo mjini Moscow yaliyolenga kupunguza mvutano unaotishia kuyatumbukiza mataifa hayo mawili katika mzozo wa moja kwa moja mjini Idlib Syria. #kurunzi

https://p.dw.com/p/3YveF