PRAGUE: Ujerumani imeifunga Jamhuri ya Czech | Habari za Ulimwengu | DW | 25.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

PRAGUE: Ujerumani imeifunga Jamhuri ya Czech

Ujerumani imefanikiwa kusonga mbele kugombea nafasi katika mashindano ya kandanda ya Ubingwa wa Ulaya mwaka 2008 baada ya kuikandika Jamhuri ya Czech mabao 2-1 mjini Prague.Mabao yote mawili yalitiwa na Kevin Kuranyi.Timu ya Ujerumani haikushindwa katika kundi lake,baada ya michezo mitano na sasa inaongoza kwa pointi tatu katika kundi D.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com