Pompeo ataka mazungumzo Mashariki ya Kati | Media Center | DW | 30.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Pompeo ataka mazungumzo Mashariki ya Kati

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo, anasema bado mzozo wa Mashariki ya Kati ni kipaumbele cha utawala wa Trump, huku akiwataka Wapalestina kwenda kwenye meza ya mazungumzo. Papo kwa Papo 30 Aprili 2018.

Tazama vidio 01:03
Sasa moja kwa moja
dakika (0)