Polisi wazungumzia tukio la kuvamiwa kituo cha Hits FM Zanzibar | Matukio ya Afrika | DW | 03.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Polisi wazungumzia tukio la kuvamiwa kituo cha Hits FM Zanzibar

Polisi visiwani Zanzibar imewatia mbaroni watu kadhaa baada ya kituo cha Hits FM kuchomwa moto na watu wasiojulikana, Kituo hicho ni radio mshirika wa DW.

Sikiliza sauti 02:08

Sudi Mnette amezungumza na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Mkadam Khamis Mkadam.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com