Polisi waliowaua na kujeruhi raia huko Mombasa wawajibishwe | Matukio ya Afrika | DW | 30.03.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Polisi waliowaua na kujeruhi raia huko Mombasa wawajibishwe

Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Kenya yameitaka serikali kuwakuchukuliwa hatua za kisheria maafisa wa usalama waliowapiga na kuwajeruhi abiria 30 katika kivuko cha Feri na kusabbaisha vifo vya watu wawili tangu kuanza kwa marufuku ya kutotoka nje mjini Mombasa, nchini humo. Mwandishi wetu Faiz Musa alituletea ripoti yake.

Sikiliza sauti 02:21