1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi Tanzania yasema msafara wa Lissu haukushambuliwa

Babu Abdalla Mohamed Zingo28 Septemba 2020

Zipo ripoti kwamba msafara wa mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Maendeleo na Demokrasia, CHADEMA, Tundu Lissu umeshambuliwa katika eneo la Tarime mkoani Mara, kaskazini mwa Tanzania. Babu Abdalla amezungumza na mwandishi wa habari wa kituo cha ITV Jackline Masinde aliyekuwepo katika eneo la tukio na kwanza amemuuliza iwapo taarifa hizo ni za kweli? Sikiliza.

https://p.dw.com/p/3j7rs