Polisi nchini Kenya wawasaka wafuasi wa Al Shabab | Matukio ya Kisiasa | DW | 18.01.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Polisi nchini Kenya wawasaka wafuasi wa Al Shabab

Wafuasi wa kundi la Al Shabab wasakwa na polisi katika kitongoji cha Eastleigh,Nairobi.

Kitongoji cha Eastleigh kilichovamiwa na polisi

Kitongoji cha Eastleigh kilichovamiwa na polisi

Maafisa wa polisi nchini Kenya usiku wa kuamkia leo wameuvamia mtaa wa Sherif katika kitongoji cha Eastleigh kuwasaka wafuasi wa kundi la Al Shabab walioshiriki kwenye maandamano ya Ijumaa wiki iliyopita kushinikiza kuachiwa huru kwa shehe wa kutoka Jamaica, Sheikh Abdullah al Faisal, anayezuiliwa nchini humo.

Josephat Charo amezungumza na Bwana Omar Hassan, mwenyekiti wa tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu nchini Kenya kuhusu uvamizi huo.

Mtayarishi: Josephat Charo

Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com