1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi Kenya kupewa mamlaka ya kuuwa

Mjahida17 Desemba 2013

Serikali ya Kenya yatoa mapendekezo yatakayoipa polisi nchini humo nguvu na mamlaka ya kuuwa katika oparesheni zao.

https://p.dw.com/p/1AatW
Polisi nchini Kenya
Polisi nchini KenyaPicha: Getty Images/AFP

Serikali ya Kenya imetoa mapendekezo mapya ya sheria yatakayoleta mabadiliko katika utekelezaji wa majukumu ya polisi nchini humo ambapo endapo muswaada huo utapitishwa na kuwa sheria basi polisi nchini humo watakuwa na mamlaka ya kuuwa katika operesheni zao. Kutoka mjini Nairobi nazungumza na George Musamali, ambae ni mtaalamu wa masuala ya usalama na kwanza anaanza kuzungumzia mapendekezo hayo.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri:Yusuf Saumu