Picha za waandishi wa habari wa Kiafrika | Mada zote | DW | 13.08.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Picha za waandishi wa habari wa Kiafrika

Mwaka huu, tuzo ya ya umma ya haki za binadamu Afrika, inayotolewa na DW chini ya tuzo ya vyombo vya habari Ujerumani kwa sera za maendeleo, imewaangazia wapiga picha wa Kiafrika. Hizi ni baadhi ya picha bora zaidi.