Picha za Mission Berlin za kupambia kompyuta | Mission Europe | DW | 05.12.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mission Europe

Picha za Mission Berlin za kupambia kompyuta

Unataka kuwapata mashujaa wote watatu wa kike wa Mission Europe? Basi chukua picha hizi nzuri kutoka kila tukio.

Hapa utapata picha za kuandamana na kila kipindi

Hapa utapata picha za kuandamana na kila kipindi

Hivi ndivyo inavyofanya kazi: Kwanza chagua picha uipendayo kwa kutumia mfumo unaoafiki. Fungua picha kwa kubonyeza upande wa kushoto wa kitauzi kisha ubonyeze upande wa kulia wa kitauzi ( mouse) ili uihifadhi kwenye kioo.

Viungo vya WWW