1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Muziki

Peter Siku Karisa sauti ya Mombasa

Sudi Mnette
8 Machi 2019

Katika kipindi cha karibuni cha 09.03.2019 pamoja na mambo mengine utasikia habari za kifo cha mtangazaji maarufu wa Tanzania Ephraim Kibonde na mwanamuziki wa muziki wa kisasa wenye vionjo vya asili kutoka Mombasa P Day.

https://p.dw.com/p/3EgN5
Peter Siku Karisa
Picha: Eric Ponda