Pemba: Mvutano kati ya KMKM na watetezi wa haki | Matukio ya Afrika | DW | 28.06.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Pemba: Mvutano kati ya KMKM na watetezi wa haki

Kikosi maalumu cha kupambana na magendo KMKM kimezuia ndugu, jamaa na watetezi wa haki kukaribia mahakama ya Wete, Mkoani wa Kaskazini kwa kile walichodai ni maelekezo kutoka ngazi za juu.

Sikiliza sauti 03:14

Mahojiano na Mwinyi Juma wa CUF

Tukio hilo lilitokea wakati wananchi kadhaa wakishikiliwa kwa tuhuma za kujihusisha na uharibifu wa mashamba na mali mbalimbali za makada wa Chama cha Mapinduzi kisiwani Pemba. Kutaka kufahamu zaidi kuhusu kinachoendelea Josephat Charo amezungumza na Mkurugenzi wa Haki za Binaadamu wa chama cha Wananchi, CUF, Pemba, Mwinyi Juma.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com