PARIS:Marufuku kuvuta sigara hadharani nchini Ufaransa kuanzia mwakani | Habari za Ulimwengu | DW | 09.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

PARIS:Marufuku kuvuta sigara hadharani nchini Ufaransa kuanzia mwakani

Ufaransa inakusudia kupiga marufuku uvutaji sigara katika sehemu zote za hadhara kuanzia mwezi februari.

Waziri Mkuu wa nchi hiyo bwana Dominique de Villepin amesema sehemu zote za burudani zinapaswa kutekeleza hatua hiyo kuanzia mwezi januari . Ameeleza kuwa mtu yeyote ama sehemu yoyote ikayokiuka utararibu huo itaadhibiwa kwa kulipa faini.

Uvutaji sigara unasababisha vifo vya watu 13 kila siku nchini Ufaransa,amesema waziri mkuu huyo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com