Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Mahakama ya Juu Marekani yatoa idhini ya kutekelezwa marufuku ya usafiri, Waasi wa Houthi wamuua Rais wa zamani nchini Yemen na Kampeni za uchaguzi wa majimbo zaanza Uhispania
Tuma Facebook Twitter google+ Whatsapp Tumblr Digg Newsvine
Kiungo https://p.dw.com/p/2onlg
Kesi dhidi ya wanaopendelea kujitenga jimbo la Uhispania la Catalonia, bunge la Marekani laepusha balaa la kusitishwa shughuli za serikali na umuhimu wa wahamiaji kwa shughuli za kiuchumi nchini Ujerumani magazetini.
:Azma ya rais Donald Trump ya kujenga ukuta, umri mrefu sio sababu ya kutopigania kiti cha rais nchini Marekani na mjadala kuhusu kurejeshwa nyumbani wanamgambo wa itikadi kali ni miongonim mwa mada magazetini .
Wabunge wa Marekani wamesema wanafanya uchuguzi kama Rais Donald Trump anajaribu kuuza teknolojia nyeti ya nyuklia kwa Saudi Arabia, ili kuwafurahisha wafuasi wake wafanyabiashara ambao watafaidika sana na mpango huo.
Jimbo la California nchini Marekani pamoja na majimbo mengine 15 yamefungua mashtaka jana dhidi ya uamuzi wa rais wa nchi hiyo Donald Trump wa kujenga ukuta katika mpaka unaozitenganisha Marekani na Mexico.