Papo kwa Papo 01.08.2016 | Anza | DW | 01.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Papo kwa Papo 01.08.2016

Wanne wauwawa Afghanistan Kabul katika shambulizi dhidi ya hoteli inayopendelewa na wageni, Papa Francis awaasa vijana kutochukiana kwa misingi ya kidini, Maelf waandamana kumpinga rais Joseph Kabila DRC, na Jerome Boateng atajwa kumrithi Bastian Schweinsteiger kama nahodha wa timu ya taifa ya Ujerumani.

Tazama vidio 01:52
Sasa moja kwa moja
dakika (0)