Papa Francis aushutumu unyanyasaji wa wanawake kutokana na ukahaba | Media Center | DW | 20.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Papa Francis aushutumu unyanyasaji wa wanawake kutokana na ukahaba

Kiongozi mkuu wa kanisa la Katoliki duniani Papa Francis ameutaja unyanyasaji wa wanawake kwa ajili ya ukahaba kuwa uhalifu wa kibinadamu. Kwa mengi zaidi, tazama vidio hii. Papo kwa Papo

Tazama vidio 00:59