1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Pakistan yaadhimisha miaka 69 ya uhuru

Maja Dreyer14 Agosti 2007

Leo Wapakistani wanasherehekea miaka 60 ya nchi yao kujipatia uhuru kutoka kwa Uingereza. Kabla ya hapo, Pakistan ilikuwa sehemu ya India ambayo itaadhimisha uhuru wake hapo kesho, Agosti 15. Kwenye sherehe mjini Islamabad, waziri mkuu Shaukat Aziz, alionya dhidi ya nchi za kigeni kujiingiza katika mambo ya Pakistan.

https://p.dw.com/p/CB1z
Wapakistani mjini Rawalpindi wakisherehekea siku ya kuadhimisha uhuru
Wapakistani mjini Rawalpindi wakisherehekea siku ya kuadhimisha uhuruPicha: AP