1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ouattara wa Ivory Coast kuwania tena urais

Sudi Mnette
7 Agosti 2020

Uamuzi wa rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara kutangaza kugombea muhula mwingine katika uchaguzi wa mwezi Oktoba, umesababisha utata katika siasa za nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Khalid Hassan ni mchambuzi wa siasa za mataifa yanayozungumza Kifaransa, je anaitazama vipi hatua hiyo?

https://p.dw.com/p/3gcxo