OSAKA: Defar wa Ethiopia ashinda medali ya dhahabu | Habari za Ulimwengu | DW | 01.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

OSAKA: Defar wa Ethiopia ashinda medali ya dhahabu

Mshika rekodi ya dunia,Meseret Defar wa Ethiopia amejinyakulia medali ya dhahabu katika mbio za wanawake za mita 5,000 mjini Osaka,kwenye Mashindano ya Riadha Ulimwenguni.Mkenya Vivian Cheruiyot,ameshika nafasi ya pili na mwananchi mwenzake,Priscah Jepleting Cherono ametokea wa tatu katika mbio hizo za mita 5,000.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com