Operesheni Mosul yaendelea vizuri | Anza | DW | 18.10.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Operesheni Mosul yaendelea vizuri

Operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul nchini Iraq yaendelea vizuri. Pande hasimu za nchini Yemen zakubali kusitisha mapigano kwa masaa 72. Na mahakama ya katiba ya DRC yaidhinisha ombi la tume ya uchaguzi la kuahirisha uchaguzi mkuu ujao uliotegemewa kufanyika Novemba, ambao sasa utafanyika Aprili 2018. Papo kwa Papo 18.10.2016

Tazama vidio 01:49
Sasa moja kwa moja
dakika (0)