Ongezeko la wakimbizi wa ndani Msumbiji | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 05.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Ongezeko la wakimbizi wa ndani Msumbiji

Nchini Msumbiji kumekuwa na ongezeko la wakimbizi wa ndani katika miaka miwili iliyopita kutokana na mashambulizi ya waasi hasa katika wanaotokea katika eneo la Cabo Delgado linalosumbuliwa na waasi. Na hivi ndivyo hali ilivyo kwenye sehemu ya makazi ya muda ya watu waliolazimika kuyakimbia makazi yao nchini humo katika mji wa Pemba nchini humo.

Tazama vidio 01:25