1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ondrej Duda atikisa Bundesliga

26 Oktoba 2018

Mfahamu mchezaji wa Hertha BSC, Ondrej Duda, anayekuja juu kwa kasi. Hadi sasa Duda amefunga mabao manne, akishika nafasi ya 6 ya wafungaji bora katika ligi ya Bundesliga msimu huu.

https://p.dw.com/p/37FvW