Obama: Hillary Clinton anafaa kuwa Rais | Anza | DW | 28.07.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Obama: Hillary Clinton anafaa kuwa Rais

Barack Obama amesema Hillary Clinton ana vigezo vingi kuwa Rais, hata zaidi yake au Bill Clinton, Papa Francis ataka Poland ipokee wakimbizi zaidi, watu wapatao 44 wauliwa kwa bomu Syria, kiongozi wa upinzani DRC, Etienne Tshisekedi, arejea Kinshasa. Papo kwa Papo 28.07.2016

Tazama vidio 01:45
Sasa moja kwa moja
dakika (0)