1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nywele za migomba ya ndizi

Sylvia Mwehozi
30 Novemba 2021

Kampuni moja ya Uganda imeanza kutumia bidhaa za migomba ya ndizi kutengeneza nywele. Ni nywele zinazotajwa kuwa imara na zinaweza kutumiwa tena. Haya akina dada hapo vipi? #vijanamubashara

https://p.dw.com/p/43feo