1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, wajuwa kwamba nyumbu na pundamilia huishi kwa kutegemeana?

8 Septemba 2023

Ukiwa kwenye hifadhi na mbuga za wanyama kuna mengi ya kujionea juu ya maisha ya wanyama na tabia zao kuanzia ulaji, unywaji na namna wanavo changamana au kukaliana mbali. Itazame video hii kujua maisha ya nyumbu na pundamilia walivyoishi kwa kutegemeana.

https://p.dw.com/p/4W7tp