1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nyuma ya pazia la elimu ya msichana wa Tanzania

24 Aprili 2012

Kuanzishwa kwa shule za sekondari za kata kwa wingi nchini Tanzania kumesaidia kuwafanya wanafunzi wengi sana, hasa wa kike, kuwa na fursa ya kujipatia elimu, lakini katikati ya machungu mazito hasa kwa wale wa vijijini.

https://p.dw.com/p/14k1k
Wanafunzi wakiwa darasani nchini Tanzania.
Wanafunzi wakiwa darasani nchini Tanzania.Picha: AP

Makala hii ya Stumai George inaangazia maisha ya kila siku ya msichana wa kijijini anayesoma kwenye shule za sekondari za kata nchini Tanzania, changamoto zinazomkabili na nafasi yake, ya familia, ya jamii na ya taasisi za kiraia kupambana na changamoto hizo. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama za spika za masikioni hapo chini.

Makala: Mwanamke na Maendeleo
Mada: Nyuma ya pazia la elimu ya msichana wa Tanzania
Mtayarishaji/Msimulizi: Stumai George
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman