1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nyimbo na ngoma za kitamaduni zatoweka

2 Februari 2017

Kadri muda unavyopita baadhi ya ngoma zimeanza kupotea kutokana na jamii kutozienzi tena kwa sababu vijana wanaziona ngoma hizo kama mambo yaliyopitwa na wakati na kupendelea zaidi midundo ya kisasa.

https://p.dw.com/p/2Wqwr